Pages
(Move to ...)
Home
▼
Wednesday, March 18, 2015
Rais Kikwete akiwa na wakuu wa wilaya wapya
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wapya wa wilaya aliowateua hivi karibuni baada ya kufungua semina elekezi ya uongozi mjini Dodoma jana katika ukumbi wa St.Gaspar..Wengine katika picha walioketi mbele ni Waziri wa TAMISEMI Mh.Hawa Ghasia(Watatu kushoto),Naibu Waziri wa TAMISEMI Mh.Aggrey Mwanri(Wapili kulia),Katibu Mkuu TAMISEMI Bwana Jumanne Sagini(kushoto), Mwenyekiti wa wakuu wa mikoa ambaye pia ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bwana Abbas Kandoro(wapili kushoto), na watano kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku
Galawa(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment