Pages

Wednesday, November 11, 2015

KAIMU MKURUGENZI MPYA AANZA KAZI, AKUTANA NA WATENDAJI MUHIMBILI


MS1
MS2

MS3
MS4


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Mseru ameanza kazi na kuwataka wafanyakazi wa hospitali hiyo kuwahi kazini kwa wakati na kufanya kazi kwa bidii. 

 Profesa Mseru ametoa kauli hiyo jijini Dar es salaam baada ya kukutana na menejimenti ya hospitali hiyo ambayo inajumuisha Wakurugenzi 14. 

No comments:

Post a Comment