MPALULEBLOG:

Pages

▼

Saturday, December 19, 2015

AJALI NYINGINE JIJINI MBEYA LEO ASUBUHI HII,ILIYOHUSISHA BASI LA HOOD NA BESTLINE NA LORI,HAKUNA ALIYEPOTEZA MAISHA

 Magari matatu yamepata ajali mkoani Mbeya asubuhi ya leo iliyohusisha mabasi ya Hood ya Mbeya na Arusha na basi la Bestline linalofanya safari zake Mbeya na Mwanza pamoja na lori eneo la Inyala Mbeya Katika ajali hiyo mtu mmoja amejeruhiwa vibaya na wengine kupata majeraha madogo madogo.

Kamanda wa polis Mkoani mbeya ACP AHMED MSANGI amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

Email ThBlogThiare to Twitter
Share to Faceboo
Unknown at 1:23 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.