MPALULEBLOG:

Pages

▼

Saturday, December 26, 2015

FUNGA MWAKA CONCERT NA DIAMOND NDANI YA DAR LIVE... ACHA KABISA!FUNGA MWAKA CONCERT NA DIAMOND NDANI YA DAR LIVE... ACHA KABISA!

IMG_7348Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia IMG_7989Diamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live.
IMG_7359Akicheza na wacheza shoo wake wa kike.IMG_1416
Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live wakiendelea kumshangilia Diamond.IMG_7371Wacheza shoo wa kike wa Diamond wakifanya yao.IMG_7324Diamond akiwachombeza mashabiki. IMG_7325Diamond akicheza na wacheza shoo wake wa kiume. IMG_7344Akiongea na mashabiki. IMG_7377
IMG_7379IMG_7383Diamond akifanya yake na wacheza shoo wake.IMG_7390Diamond baada ya kuwakonga nyoyo mashabiki wake waliofurika Dar Live na wao kuridhika aliamua kupozi nao kwa picha hii. IMG_7432Nyomi ya kutisha ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live. IMG_7455
IMG_7973Diamond akizidi kuwapa raha mashabiki wake wa Dar Live. IMG_7927Mashabiki baada ya kupagawa na shoo. IMG_7975...Akiongea na mashabiki wake. IMG_7991Akiwasalimia mashabiki.(PICHA: MUSA MATEJA, RICHARD BUKOS/GPL)
Unknown at 6:57 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.