Pages

Monday, December 28, 2015

Kizingiti mazungumzo ya amani Burundi

Januari

Image captionUjumbe wa serikali ya Burundi umekataa kukubali mazungumzo yaanze Januari 6
Mazungumzo ya kujaribu kutafutia ufumbuzi mzozo wa kisiasa nchini Burundi yamefanyika nchini Uganda.

BurundiImage copyright
Image captionBw Museveni ameitaka serikali ya Burundi kutotoa masharti makali

No comments:

Post a Comment