MPALULEBLOG:

Pages

▼

Friday, December 18, 2015

MAGUFULI ATAOMBWA KUTUMBUA JIPU LA WILAYA YA MPANDA MKOANI KATAVI DHIDI YA ADHA YA USAFIRI

Baadhi ya Abiria wakiwa wamekwama mapema leo asubuhi ndani ya Mbuga ya Katavi wilayani Mpanda kufuatia magari ya abiria na malori kukwama kutokana na barabara hiyo muhimu kwa wakazi wa Mpanda na Katavi, kujaa tope na kupelekea barabara hiyo kutopitika kirahisi,Camera ya Globu ya jamii iliokuwepo kwenye safari hiyo ikielekea mkoani Katavi imeonja adha hiyo na pia kujiaonea hali halisi ya barabara hiyo yenye takribani urefu wa kilometa 50.
 
Baadhi ya abiria wakijionea hali halisi ya adha ya barabara hiyo kama mabasi yaonekanavyo pichani.
Baada ya kupishana kwa taabu na kujinasua,abiria wanaelekea kupanda mabasi yao.
www.shaabanmpalule.blogspot.com
Unknown at 1:07 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.