Pages
(Move to ...)
Home
▼
Monday, December 28, 2015
MDAU EDWINI MJWAHUZI AUKACHA RASMI UKAPERA
Mdau Edwini Mjwahuzi akimvisha pete Mkewe
Bi. Hildegarda Mashauri,
wakati wa Ibada ya Ndoa yao iliyofanyika kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jijini Dar es salaam
.
Mdau Edwini Mjwahuzi na Mkewe
Bi. Hildegarda Mashauri
wakiwa ni wenye furaha tele mara baada ya kufunga pingu za maisha na kuwa mwili mmoja, kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jijini Dar es salaam.
Mdau Edwini Mjwahuzi ambaye ni Mpiga picha wa Magazeti ya Kampuni ya Mwananchi, jioni ya leo ameamua kuvunja kibanda cha Makapera na kukimbilia kwenye Mjengo wa wanandoa, kwa kufunga pingu za maisha na Bi. Hildegarda Mashauri kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jijini Dar es salaam.
Mdau Edwini Mjwahuzi na Mkewe
Bi. Hildegarda Mashauri
pamoja na Wasimamizi wao wakiwa kwenye ibada ya ndoa, iliyofanyika jioni ya leo kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment