MPALULEBLOG:

Pages

▼

Sunday, December 20, 2015

NAKAGUA MGODI WA MADINI YA TANZANITE-MIRERANI

 Katibu mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, mhandisi Omary Chambo akikagua moja kati ya mgodi wa madini ya Tanzanite iliyopo Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara alipotembelea eneo hilo, kulia ni Ofisa madini mkazi Mirerani Henry Mditi.

Unknown at 11:47 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.