Pages

Monday, December 21, 2015

NEW VIDEO: Best Nasso - Rumba (Official Music Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya hapa home Tz maarufu kwa jina la Best
Nasso aliyewahi kutamba na ngoma zake kama, Nirudi kijijini, Maisha Ni
Utata, Fahari, khadija, n.k ameachia video mpya ya wimbo wake ambao
unaitwa ‘Rumba’ Directed by Kenny Ukiyz

Tumia dakika zako kadhaa kuitazama hii video hapa>>>

No comments:

Post a Comment