Pages
(Move to ...)
Home
▼
Tuesday, December 29, 2015
RIDHIWANI KIKWETE ATETA NA KATIBU MKUU KIONGOZI,OMBENI SEFUE IKULU
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya Rais Dk John Magufuli kuwaapisha Mawaziri waliokuwa wamesalia Ikulu, Dar es Salaam .
Ridhiwani pia alipata wasaa wa kujadiliana mambo mbalimbali na kiongozi huyo wa watumishi wa Serikali.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment