MPALULEBLOG:

Pages

▼

Friday, December 11, 2015

SWAHILI HIP HOP KILA SIKU YA JUMAMOSI 10AM ET, KUONGEA LIVE NA WASANII MBALIMBALI WA BONGO FLAVA

Kilimanjaro Studio sasa inakuletea kipindi cha muziki wa kizazi kipya kila siku ya Jumamosi saa 4 asubuhi kwa saa za Amerika ya mashariki
Mtayarishaji na mtangazaji wa kipindi ni Buheti Abdulrahman
Kipindi hiki kitakuwezesha kujua mambo yaliyojiri kila wiki kuhusiana na muziki na wanamuziki wa Bongo Flava na nafasi pekee ya kuweza kuburudika na muziki wa Bongo Flava huku ukipata historia ya wanamuziki hao.
Ni kila Jumamosi ndani ya Kilimanjaro Studio kupitia www.vijimamboradio.com, auwww.kwanzaproduction.com au www.bordermediagroup.com au kupitia hapa katika Vijimambo Radio kwenye TuneIn app
Kwa Marekani na Canada, unaweza kusikiliza kupitia simu 716-748-0086 kwa saa 24 ama kwenye live show piga240-454-0093 na kisha *5 kuchangia lolote
Unknown at 11:04 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.