Pages

Monday, December 28, 2015

Watu wawili wauawa Mandera

Watu wawili wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa baada ya wanajeshi kufyatulia risasi gari moja mjini Mandera katika hali ya kutatanisha, ripoti zinasema.

ShababImage copyright
Image captionMaafisa wa usalama wamekuwa wakifanya operesheni ya kiusalama kutokana na kuongezeka kwa mashambulio kutoka kwa al-Shabab

No comments:

Post a Comment