MPALULEBLOG:

Pages

▼

Wednesday, January 13, 2016

FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA MSAADA SHULE YA MSINGI

MSINUNE Taasisi ya Flaviana Matata ilizindua rasmi msimu wa "BACK TO SCHOOL" kwa kutoa vifaa vya shule kwa jumla ya watoto 270 wa Shule ya Msingi Msinune ambayo ipo chini ya ulezi wa mwanzilishi wa #FMF na mwanamitindo wa Kimataifa Flaviana Matata. Zaidi ya kutoa vifaa vya Shule Flaviana Matata Foundation kwa kushirikiana na wadau wamefanikiwa kujenga choo na waalimu na wanafunzi shuleni hapo.fmf msinuneFlaviana Matata akikabidhi mabegi ya shule kwa watoto wa shule ya Msingi ya Msinune ambapo ameteuliwa kama mlezi wa shule hiyo kwa mwaka wa tatu sasa.fmf msinune primary schoolwanafunzi wa Shule ya Msinune wakikatiza na mabegi yao ambayo walikabidhiwa mwaka jana.    FmF  fmf msinune 1 
Flaviana Matata akikagua Choo cha wanafunzi kilichojengwa na FMF kwa msaada wa wadau.fmf msaada choo
Unknown at 1:07 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.