Pages
(Move to ...)
Home
▼
Wednesday, January 13, 2016
MASHUJAA RADIO YAWAPA RAHA WAKAZI WA LINDI. SASA NI BURUDANI KWA KWENDA MBELE.
Mashujaa Radio Ilipowapa Raha Mashabiki wa Mkoa wa Lindi, Ni Katika Usiku wa FM Academia, onyesho lililofanyika kwenye Ukumbi wa Oceanic Hoteli, Katika Picha ni baadhi ya Wanenguaji wa Bendi hiyo Wakati wakitikisha na kuwakosha Mioyo Mashabiki wa Mashujaa Fm Radio, na Picha ya Juu ni Raisi wa Fm Academia Nyoshi akiwa na Mratibu wa Onyesho hilo, Juma Diwani ambaye ni Mkuu wa Uratibu wa Maonyesho wa Mashujaa Radio 89.3, Lindi Sasa Inaongea.imefanyika 9/1/2016 (Picha Zote Na: Dj, Kizzo).
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment