Pages

Wednesday, February 24, 2016

Barozi wa Pepsi Nigeria Seyi Shay Nchini Tanzania.


Barozi wa Kinywaji cha pepsi ambaye ni msanii kutoka Nigeria,Seyi Shay(katikati), kushoto ni meneja Masoko wa SBL, Roselyne Bruno na mkuu wa Masoko, Catheline Arlen wa pili kulia.
Barozi wa Kinywaji cha pepsi ambaye ni msanii kutoka Nigeria,Seyi Shay(katikati) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari hawapo pichani jijini Dar es Salaam, kushoto ni meneja Masoko wa SBL, Roselyne Bruno na mkuu wa Masoko, Catheline Arlen. Msanii huyo alibainisha kuwa anaweza kushirikiana na Wanamuziki wa Tanzania katika kutengeneza baadhi ya nyimbo zake.


Barozi wa Kinywaji cha pepsi ambaye ni msanii kutoka Nigeria,Seyi Shay(katikati) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam, kushoto ni meneja Masoko wa SBL, Roselyne Bruno na mkuu wa Masoko, Catheline Arlen.
Balozi Seyi Shay akiwa na baadhi ya Viongozi wa Kampuni ya Pepsi nchini Tanzania
 Seyi Shey akiwa jukwaani muda mfupi baada ya kuzungumza na vyombo vya habari
 Seyi Shey akiwa jukwaani muda mfupi baada ya kuzungumza na vyombo vya habari

No comments:

Post a Comment