Pages
(Move to ...)
Home
▼
Thursday, March 10, 2016
DKT SHEIN AMTEMBELEA NA KUMJULIA HALI MAALIM SEIF LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akiambatana na
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Ikulu na Utawalabora Mheshimiwa
Dkt. Mwinyihaji Makame, amemtembelea kumjulia hali Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanibar Maalim Seif Shariff Hamad ambaye yuko hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mapumziko baada ya kutolewa hospitali. Amesema afya yake inazidi kuimarika siku hadi siku. Dkt. Shein alifika hotelini hapo mnamo majira ya saa mbili usiku. (Picha na Salmin Said, OMKR)
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akimjulia hali Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanibar Maalim Seif Shariff Hamad
hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akimjulia hali Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanibar Maalim Seif Shariff Hamad
hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. Picha na OMKR
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment