Pages

Friday, March 18, 2016

Zantel yatoa msaada wa kompyuta na huduma ya intaneti bure kwa kituo cha Mkubwa na Wanawe.








Tangukuanzishwa kwake, Mkubwa na  Wanaweimefanikiwa kuibua wasanii mbalimbali kama vile Wanaume TMK na bendi ya Yamoto.‘KamaMkubwa na Wanawe tumejikita katika kujenga na kuhakikisha vijana wanatimiza ndotozao na pia kuwasaida wasishawishike au kujishuhulisha na shughuli haramu ambazozinapotosha maadili kwenye jamii kama vile uvutaji au suuzaji wa madawa yakulevya na wizi’ alimaliza Fella

No comments:

Post a Comment