MPALULEBLOG:

Pages

▼

Wednesday, April 6, 2016

BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAKAMATA SHEHENA YA MAFUTA YA KUPIKIA YALIYOINGIZWA NCHINI KINYUME NA SHERIA

Mkuu wa Idara ya Usalama na Ubora wa Chakula wa (ZFDB) Bi. Aisha Suleiman akizungumza na wandishi wa habari kuhusu kukamatwa mafuta yaliyoingizwa nchini kinyume na sheria yenye thamani ya miliono 40. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzuibar.
Wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakifungua Godauni lenye mafuta ya kupikia yanayokaribia kumaliza mda wake, eneo la Amani magogoni Mjini Zanzibar.
Mgurugenzi wa kampuni ya Premium Enterprises Humud Nasor Humud akiyakagua ili kuyatambua madumu ya kampuni yake ambayo yamekamatwa na Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar yakitumiwa na wafanyabiashara wasio waaminifu kutia mafuta ya kupikia yanayokaribia kumaliza muda wake ili yaonekane kuwa ni mapya.
Shehena ya maboksi ya mafuta yaliyoingizwa nchini kinyume na sheria.
MPALULEBLOGS:
Unknown at 1:48 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.