Pages
(Move to ...)
Home
▼
Thursday, April 21, 2016
KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI UTALII UTAMADUNI NA MICHEZO ZANZIBAR AKABIDHIWA OFISI RASMI
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar mwenye koti na tai akiwa katika Picha ya pamoja na Naibu katibu Mkuu wa Wizara hiyo Amina Ameri Issa pamoja na Wakurugenzi na Watendaji wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Kikwajuni Mjini Unguja.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar kushoto akikabithiwa nyaraka na Katibu Mkuu Mstaafu Ali Mwinyikai katika makabidhiano ya Ofisi yaliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Kikwajuni Mjini Unguja.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar kushoto na Katibu Mkuu Mstaafu Ali Mwinyikai wakitiliana saini katika makabidhiano ya Ofisi yaliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Kikwajuni Mjini Unguja.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Amina Ameri Issa kulia akikabidhiwa nyaraka na Naibu Katibu Mkuu Mstaafu Issa Mlingoti katika makabidhiano ya Ofisi yaliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Kikwajuni Mjini Unguja
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar akitoa nasaha zake kwa Wakurugenzi na Watendaji mbali mbali waliohudhuria katika makabidhiano ya Ofisi yaliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Kikwajuni Mjini Unguja
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment