Pages
(Move to ...)
Home
▼
Saturday, April 23, 2016
KATIKA KUHAKIKISHA JIJI LA DAR ES SALAAM KUWA SAFI
Katika kuhakikisha kuwa Jiji la Dar es Salaam linakuwa safi, Manispaa ya Ilala imethubutu kwa kuanza kukata miti ambayo imekuwa ikihatarisha usalama wa wananchi wakiwemo wapita njia na magari, kama picha inavyoonyesha usafi ukifanyika katika moja ya mitaa wa Samora 23 Aprili, Jijini Dar es Salaam.
Picha na Benedict Liwenga-MAELEZO
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment