MPALULEBLOG:

Pages

▼

Thursday, April 28, 2016

MKAKATI WA UTOZAJI WA FAINI KWA WAMILIKI WA ARDHI.

MPALULEBLOGS:Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Kodi Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bi. Rehema Kilonzi (Kushoto) akielezea mbele ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusu hatua ya kazi ya mkakati wa utozaji wa faini kwa Wamiliki wa ardhi waliokiuka masharti ya uendelezaji na ulipaji kodi ya pango la ardhi leo katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Uliopo jijini Dar es Salaam.Picha na Benedict Liwenga-MAELEZO.
Unknown at 8:27 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.