Pages
(Move to ...)
Home
▼
Tuesday, April 5, 2016
RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MASILINGI
Monday, April 04, 2016
Maoni: 0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Marekani Mhe,Wilson M.Masilingi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar asubuhi ya leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Marekani Mhe,Wilson M.Masilingi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar asubuhi ya leo,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment