Pages
(Move to ...)
Home
▼
Thursday, April 21, 2016
RC Lindi Amtumbua Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
Pichani..Bi Oliva Vavunge ....Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Godfrey Zambi jana amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi kutokana na Kutosimamia Mradi wa Umwagiliaji na Ujenzi wa Banio katika Kijiji cha Narunyu Kata ya Kiwalala Lindi...Picha na Abdulaziz Lindi
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment