Spika
wa Bunge, Job Ndugai akisalimiana na Spika Mstaafu wa Bunge la Zambia ,
Amusaa Mwanamwambwa ambaye ni mmoja wa watoa mada katika Mkutano wa
Maspika kutoka Nchi Wanachama wa SADC unaendelea Nchini Mauritius
katikati ni Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Umoja huo Dr. Essau Chiviya.
Mhe. Ndugai ndiye Rais wa Umoja wa Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya
ya Kusini mwa Jangwa la Sahara (SADC Parliamentary Forum) TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Tuesday, April 12, 2016
SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI ASHIRIKI MKUTANO WA MASPIKA KUTOKA NCHI ZA SADC NCHINI MAURITIUS.
Spika
wa Bunge, Job Ndugai akisalimiana na Spika Mstaafu wa Bunge la Zambia ,
Amusaa Mwanamwambwa ambaye ni mmoja wa watoa mada katika Mkutano wa
Maspika kutoka Nchi Wanachama wa SADC unaendelea Nchini Mauritius
katikati ni Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Umoja huo Dr. Essau Chiviya.
Mhe. Ndugai ndiye Rais wa Umoja wa Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya
ya Kusini mwa Jangwa la Sahara (SADC Parliamentary Forum)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment