MPALULEBLOG:

Pages

▼

Saturday, April 23, 2016

SPIKA WABUNGE ALIPOKUTANA NA BALOZI WA KOREA NA BALOZI WA KENYA

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Korea Kusini nchini Song Geum aliyemtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Balozi wa Korea Kusini nchini Song Geum akimuonesha jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai wakati alipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisikiliza kwa makini Balozi wa Korea Kusini nchini Song Geum aliyemtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Mke wa Balozi huyo.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Kenya nchini Chirau Ali aliyemtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza kwa makini Balozi wa Kenya nchini Chirau Ali aliyemtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.
MPALULEBLOGS:Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (mwenye tai nyekundu katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa shule ya msingi Feza iliyopo Dar es Salaaam. Wanafunzi hao walikuja kutembelea Bunge.(Picha na Ofisi ya Bunge)
Unknown at 7:59 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.