MPALULEBLOG:

Pages

▼

Tuesday, April 12, 2016

TRA YATOA MAFUNZO YA ULIPAJI KODI KWA HIYARI KWA WANACHAMA WA TABOA JIJINI DAR LEO.

MAMLAKA ya mapato Tanzania(TRA) wametoa mafunzo kwa wanachama cha wasafirisha abiria(TABOA) jijini Dar es Salaam leo, kuhusiana na wanachama hao kulipa kodi kwa hiyari bila shuruti.

 Meneja elimu kwa mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA, Diana Masalla akizungumza na wanachama cha umoja wa usafirishaji abiria hapa nchini (TABOA), kuhusiana na ulipaji wa kodi kwa hiyari katika sekta ya usafirishaji.
 Meneja wa elimu kwa Mlipa kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Gabriel Mwangosi akizungumza na wanachama cha umoja wa usafirishaji abiria hapa nchini (TABOA) jijini Dar es Salaam leo.
MPALULEBLOGS:Baadhi ya wanachama wa chama cha wasafirishaji abiria hapa nchini wakipata elimu ya kulipakodi kwa hiari inayoendeshwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) jijini Dar es Salaam leo.
Unknown at 9:23 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.