Pages

Wednesday, April 6, 2016

WATU WANNE WAFARIKI DUNIA KWA KUANGUKIWA NA KIFUSI.

Kamanda  wa Polisi  Mkoa  wa Kinondoni, Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP), Christopher Fuime akiwasili katika eneo Kawe Ukwamani ambapo nyumba moja iliangukiwa na kifusi na kusababisha vifo vya watu wanne na majeruhi watano, tukio hilo limetokea leo alfajiri jijini Dar es Salaam.
MPALULEBLOGS:Kamanda  wa Polisi  Mkoa  wa Kinondoni, Kamishina Msaidizi wa Polisi ACP Christopher Fuime akitoka katika kusaiia kazi ya uokoaji wa watu wanne waliofariki kwa kufukiwa na kifusi eneo la  Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment