Pages

Monday, May 23, 2016

Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al-Najem Akabidhi Msaada wa Madawa na Maji kwa Ajili ya Kambi za Kipundupindu Zanzibar.


Balozi Jasem Al-Najem, akisoma bango lilliloandikwa ujumbe wa hafla hiyo kwa viongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar kabla ya kuaza hafla hiyo ya kukabidhi madawa na maji. kushoto Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Harusi Said na Naibu Katibu Mkuu Halima Maulid

No comments:

Post a Comment