Pages

Thursday, June 2, 2016

DR. MWAKA NDONDO CUP 2016 HIYOO JUMAPILI UFUNGUZI UWANJA WA BANDARI TANDIKA.





Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni  ya FOREPLAN CLINIC, inayojishugulisha na utoaji wa Huduma za Afya kwa jamii, Ususani Huduma ya Uzazi kwa kina Mama na kina Baba yenye Makao makuu yake jijini Dar es Salaam, Ilala Bungoni, kutoka kushoto ni Kitengo cha Production Emmanuel Mwansasu, Clinton Sound Engeneer, Admn, Bazizan Tenga, Dereva Hamisi Mwakijo na Eligius Nyoni kitengo cha Production 








 
 Baadhi ya Vifaa vilivyokabidhiwa kwa timu hizo.
 MKurugenziMsaidizi wa FOREPLAN CLINIC Batuli Mwaka akikabidhi Vifaa kwa mmoja wa wawakilishi wa timu hizo

 Waandaji na Wadhamini wakiwa kwenye picha wakati wa kuzungumza na waandishi wa habari
MSaidizi wa MAsoko wa FOREPLAN CLINIC, Baraka Samweli (kati) akifafanua jambo wa mkutano wa Waandishi wa Habari
  Mkurugenzi Msaidizi wa FOREPLAN CLINIC Batuli MWaka(kushoto), akiwa na MWenyekiti wa DRFA Almas (kati) na Msaidizi wa Masoko wa FOREPLAN CLINIC Baraka Samweli.

 Baadhi ya Timu shiriki zikiwa kwenye Eneo la Kugawiwa Vifaa vya Michezo, pamoja na  Admn, Bazizan Tenga, wa Dr MWaka.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni  ya FOREPLAN CLINIC, inayojishugulisha na utoaji wa Huduma za Afya kwa jamii, Ususani Huduma ya Uzazi kwa kina Mama na kina Baba yenye Makao makuu yake jijini Dar es Salaam, Ilala Bungoni, kutoka kushoto ni Kitengo cha Production Emmanuel Mwansasu, Clinton Sound Engeneer, Admn, Bazizan Tenga, Dereva Hamisi Mwakijo na Eligius Nyoni kitengo cha Production.
MPALULEBLOGS:

No comments:

Post a Comment