Pages
(Move to ...)
Home
▼
Friday, June 10, 2016
DUKA LA VIFAA LA AZAM FC LAZINDULIWA LEO NDANI YA BOTI YA KILIMANJARO 6.
Wafanyakazi wa Duka la Azam wakionyesha baadhi ya Jezi za Timu ya Azam zinazopatikana katika Duka Maalum lililofungulia ndani yaboti ya Kilimanjaro 6 leo.
Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba akizungumza Michuz TV wakati wa
uzinduzi wa duka la vifaa vya vya michezo pamoja na vitu mbalimbali vya Azam duka hilo limezinduliwa ndani ya boti ya Kilimanjaro 6 leo.
Wafanyakazi wa Duka la Azam wakionyesha baadhi ya skafu na vitamaa vya Timu ya Azam zinazopatikana katika Duka Maalum lililozinduliwa ndani ya boti ya Kilimanjaro 6 leo
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment