Pages
(Move to ...)
Home
▼
Monday, June 6, 2016
Kampuni ya Auto Xpress yazinduwa Tawi lake Dar es Salaam
Mgeni rasmi ambaye ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo (wa pili kulia) akikata utepe kuzinduwa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Makapuni ya Auto Xpress, Sandeep Shah pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Kampuni ya Auto Xpress Tanzania, Leonard Mususa (wa kwanza kulia).
Mgeni rasmi ambaye ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo (wa pili kulia) akizungumza katika uzinduzi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Makapuni ya Auto Xpress, Sandeep Shah akizungumza kabla ya uzinduzi wa kampuni hiyo kwa tawi la Dar es Salaam. Kampuni ya Auto Xpress tawi la Tanzania inafanya kazi ya ukaguzi wa magari kiufundi (service) kwa mfumo wa kisasa kwa kutumia kompyuta pamoja na uuzaji wa vifaa madhubuti kwenye magari.
Mgeni rasmi ambaye ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo (wa pili kulia) akikata utepe kuzinduwa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Makapuni ya Auto Xpress, Sandeep Shah pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Kampuni ya Auto Xpress Tanzania, Leonard Mususa (wa kwanza kulia).
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment