MPALULEBLOG:

Pages

▼

Thursday, June 9, 2016

KWAYA YA VIJANA KKKT DAYOSISI YA IRINGA ILIYOSHIKA NAFASI YA PILI KIUIMBAJI TAIFA IKIWA BUNGENI MJINI DODOM



Mbunge wa jimbo la Kilolo Bw Venance Mwamoto katikati aliyevaa tai akiwa na mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati katika picha ya pamoja na waimbaji wa kwaya ya vijana KKKT dayosisi ya Iringa walipotembelea bunge Juni 8 mwaka huu .
MPALULEBLOGS:
kwaya ya vijana wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Iringa wakiwa bungeni mjini Dodoma juni 8 mwaka huu baada ya kumaliza mashindano yao ya uimbaji kitaifa yaliyofanyika Kanisa la Martin Luther mjini hapa na kwaya hiyo kushika nafasi ya pili kitaifa picha na Richard Mwaikenda
Waimbaji wa kwaya ya vijana wakiwa wamesimama wakati wakitambulishwa na naibu spika bungeni jana
Unknown at 2:13 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.