Wakili
wa Serikali Paul Kadushi alidai kuwa kati ya Januari 12 na 14, mwaka
huu mahali pasipofahamika jijini Dar es Salaam, washtakiwa walikula
njama ya kusambaza taarifa ya uchochezi kupitia gazeti la Mawio
lililokuwa na kichwa cha habari cha “Machafuko yaja Zanzibar”.
No comments:
Post a Comment