MPALULEBLOG:

Pages

▼

Thursday, June 2, 2016

MUHIMBILI YAPOKEA VIFAA VYA KUTOA HUDUMA KWA WATOTO WADOGO

Kushoto ni Mkuu wa Uuguzi na Mazingira ya Ndani, Zuhura Mawona wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) akipokea LEO vifaa vya kutoa huduma kwa watoto wadogo kutoka kwa Mratibu wa Global Health Alliance, Sally Dawit.
Vifaa vya kutoa huduma kwa watoto wadogo vikiwa kwenye toroli maalumu la kuhifadhia katika hospitali hiyo.
MPALULEBLOGS:Kushoto ni Mkuu wa Uuguzi na Mazingira ya Ndani, Zuhura Mawona wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) akipokea LEO vifaa vya kutoa huduma kwa watoto wadogo kutoka kwa Mratibu wa Global Health Alliance, Sally Dawit.Picha na John Stephen, Hospitali ya Taifa Muhimbili
Unknown at 12:54 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.