Wachezaji
wa timu ya soka ya Hospitali ya wilaya ya Kahama wakifurahia mara baada
ya kukabidhiwa kombe ilipoichapa timu ya Mgodi wa Buzwagi mabao 2 kwa
1.
Wachezaji
wa timu ya Mgodi wa Buzwagi wakisalimiana na viongozi mara baada ya
kumalizika kwa mcheoz wa kirafiki ambapo timu ya Hospitali wilaya ya
Kahama iliibuka na ushindi wa bao 2 kwa 1 .
Mkuu
wa wilaya ya Kahama ,Vita Kawawa aliyekuwa mgeni rasmi katika mchezo
huo akikabidhi kombe kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya
Kahama,Anderson Msumba aliyeongozana na nahodha wa timu ya Hospitali ya
wilaya ya Kahama.
Baadhii ya wananchi wakifuatilia zoezi la utoaji kombe kwa washindi hao.Na Dixon Busagaga wa Michuzi Blog Kanda ya Kaskazini
No comments:
Post a Comment