MPALULEBLOG:

Pages

▼

Wednesday, June 8, 2016

TPA YADHAMINI SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI


MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari (TPA) yaadhimisha siku ya mazingira duniani kutokana na kutambua umuhimu wake kwa kuwa na mitambo mbalimbali ambayo inazalisha hewa ambayo inaweza kuharibu mazingira.

Hayo ameyasema Afisa Mwandamizi Mkuu wa Mazingira wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Thobias Mwasobwa amesema kuwa shughuli za bandari zianaenda na mitambo hivyo suala mazingira hawawezi wakaliacha likiharibu mazingira.

Amesema kuwa tangu kuanza kwa maadhimisho hayo wametoa elimu kwa watu 60 ambao watakuwa mabalozi katika utunzaji wa mazingira katika sehemu zao kazi kutokana na shughuli nyingi ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza zikaharibu mazingira. Aidha amesema wataendelea kutoa elimu zaidi juu mazingira na mabadiliko ya nchi kama mamlaka inalitambua na wanadhibiti jinsi ya kuweza kuhifadhi mazingira 
 
Baadhi ya wafanyakazi wa mamraka ya Bandari TPA wakifanya usafia katika eneo la Chuo Cha Bandari Dar es Salaam jana kwa ajili ya maadhimisho ya Usafi wa mazingira duniani
Unknown at 12:49 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.