MPALULEBLOG:

Pages

▼

Thursday, June 2, 2016

VINGUNGUTI KOMBAINI YA VINGUNGUTI YAICHARAZA NEW POWER FC YA CHANIKA KATIKA SHIGAGATA MKULULA CUP 2016-

Katibu wa Timu ya Vingunguti Kombaini, Rajabu Mohamed(kushoto) akiwa na Wachezaji wa Timu ya Vingunguti Kombaini Kabla ya Mpambano huo kuanza ambapo timu ya Vingunguti Kombaini iliishinda New Power Fc ya Chanika kwa jumla ya 1-0 , goli likifungwa Emanuel Mchina katika dakika za kipindi cha Pili, jumla ya Timu 36 zinashiki ligi hiyo yenye Makundi 4 katika kutafuta timu zitakazofuzu hatua ya Awali ya Robo Fainali, Wa nne kushoto ni Mwalimu wa Timu hiyo  Spia Mbwembwe, aliyewahi pia kuichezea Timu ya Simba ya Jijini Dar es Salaam inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania. (Picha Kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania). 









Unknown at 11:52 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.