MPALULEBLOG:

Pages

▼

Wednesday, June 8, 2016

ZITTO KABWE AHOJIWA MASAA MATATU KUTOKANA NA HOTUBA YAKE OPERATION KOMBOA DEMOKRASIA

Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe, akihojiwa na waandishi wa habari leo nje ya Kituo kikuu cha Polisi jijini Dar es salaam baada ya kuhojiwa kwa takribani masaa matatu kutokana na hotuba yake aliyoitoa kwenye mkutano wake wa "Operesheni Komboa Demokrasia" uliofanyika Viwanja vya Zakhem Mbagala, Dar es Salaam
Unknown at 4:07 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.