Maua yaliyohudumia tukio hilo.
Meneja
wa Bia ya Ndovu Red Malt, Nicolas John akiongea wakati wa Uzinduzi wa
bia ya Ndovu Red Malt uliofanyika jana katika mgahawa wa 305 The Boks
uliopo Kinondoni jijini Dar e Salaam ambapo wateja zaidi ya 50
walihudhuria katika hafla ya uzinduzi wake.
Meneja
Masoko wa vinywaji wa kampuni ya TBL Vimal Vaghmaria amesema: “Ubunifu
wa kila bidhaa yetu unalenga kukidhi matakwa ya watumiaji wake ambao ni
wateja wetu ambao wanahitaji kutumia bia zilizo bora na zinazokwenda na
wakati katika soko”.
Msanii
wa Muziki wa Kizazi kipya, Damian Soul akitoa burudani katika uzinduzi
wa bia ya Ndovu Red Malt uliofanyika jana katika mgahawa wa 305 The Boks
uliopo Kinondoni jijini Dar e Salaam.
Wageni waalikwa wakijipatia bia ya Ndovu Red Malt.
Wageni waaalikwa wakibadilisha nawazo huku wakijipatia kinywaji cha Ndovu Red Malt.
Wageni
waliohudhuria uzinduzi wa bia ya Ndovu Red Malt uliofanyika mgahawa wa
305 The Boks uliopo Kinondoni jijini Dar e Salaam.
Kinywaji cha Ndovu Red Malt.
Meneja
wa Bia ya Ndovu Red Malt, Nicolas John(kushoto) akiwa na Msanii wa
Kuchora Picha Bwana Lute (katikati) wakionyesha furaha yao mara baada ya
uzinduzi wa bia hiyo.
Mkurugenzi
wa Masoko TBL, Kushila Thomas (wa kwanza kushoto) akijadiliana jambo na
Meneja wa Bia ya Ndovu Red Malt, Nicolas John (katikati) pamoja na
mgeni mwaliko aliyefika katika uzinduzi wa bia ya Ndovu Red Malt
uliofanyika mgahawa wa 305 The Boks uliopo Kinondoni jijini Dar e
Salaam.
Meneja
wa Bia ya Ndovu Red Malt, Nicolas John (wa kwanza kushoto) akifuatiwa
na Mkurugenzi wa Masoko TBL Kushila Thomas pamoja na Meneja Masoko wa
vinywaji wa kampuni ya TBL Vimal Vaghmaria (wa kwanza kulia) wakionyesha
kinywaji cha Ndovu Red Malt mara baada ya kuzindua kinywaji hicho jana
katika mgahawa wa 305 The Boks uliopo Kinondoni jijini Dar e Salaam
ambapo wateja zaidi ya 50 walihudhuria katika hafla ya uzinduzi wake.
No comments:
Post a Comment