Pages

Saturday, June 15, 2013

ILIKUWA NI SIKU AMBAYO MWILI WA MAREHEMU ROBERT MAKIMA- UKISAFIRISHWA UKEREWE KWA MAZISHI

Jeneza la Mwili wa  Mzazi Mlezi wa  Redemptus Mkama, likiwa njiani(ndani ya Meli) kuelekea Ukerewe kwa Maziko, pembeni mwa jeneza ni Redemptus Mkama.
 Mjane wa Marehemu(kushoto) Sabina Kaliba na Wifi yake- Spelansia Laurent, wakiwa kwenye Meli.
 Watoto wa Marehemu kutoka kushoto wa pili ni Veronica Robert, Mjukuu na Binti wa Marehemu , Editha Robert.
 Mwili wa Marehemu Robert Ukishushwa katika Meli baada ya kuwasili katika kisiwa cha Ukerewe
 Wafiwa wakiwa katika Msiba huo
Wajukuu wakiweka Mishumaa kuhitimisha Safari ya Mwisho.
(Picha Zote na Redemptus Mkama)

No comments:

Post a Comment