Pages

Wednesday, July 23, 2014

BASI LA SUPER NAJIMNISA LAPATA AJALI NA KUUWA

 habari mbaya kutoka mkoani Shinyanga, Basi la super Najimnisa limepata ajali mbaya baada ya mipira ya matairi kupasuka,unaambiwa wapo baadhi ya waliokufa na majeruhi ni wengi sana na bado hatua za kuokoa bado zinaendelea muda huu, habari na msanii wetu, alikuwa anatoka mwanza kuelekea Dodoma ambapo waliwa wanashoot muvi huko:

No comments:

Post a Comment