Pages

Wednesday, July 23, 2014

Mstahiki Meya wa Ilala Mhe Jerry Slaa aandaa futari kwa wadau mbalimbali

 Waalikwa wakipakua futari iliyoandaliwa na Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa katika ukumbi wa Arnatouglou jijini Dar es salaam siku ya Jumanne Julai 22, 2014 ambapo wadau kutoka sehemu mbalimbali walihudhuria. 
 Kina mama walikuwepo pia
 Wadau mbalimbali walihudhuria
 Kaimu Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akitoa neno la shukurani
Mstahiki Meya wa Ilala alitoa zawadi kwa kila mgeni aliyealikwa. 

No comments:

Post a Comment