Mwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Zanzibar Samir Manji ( wa tatu kushoto), akikabidhi mfano wa hundi yenye
thamani ya sh. mil 51 wananchi wa majimbo ya Chumbuni na
Mpendae ikiwa ni msaada wa kampuni hiyo kwa ajili ya mradi wa
uchimbaji wa visima vya maji safi na salama katika majimbo hayo
juzi. Wa pili kushoto ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu |
No comments:
Post a Comment