Pages

Wednesday, October 1, 2014

ILIVYOKUWA JANA WAKATI WA UPIGAJI KURA BUNGE MAALUM LA KATIBA WAENDELEA

PG4A1469Wahudumu wa Bunge wakibeba masanduku ya kura  ili kuyapeleka kwenye  chaumba cha kuhesabia kura  baada ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kumaliza kazi ya kupiga kura Septemba 30, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A2397Wajumbe wa Bunge  Maalum la Katiba,  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na  Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka  wakiteta bungeni Mjini Dodoma Septemba  30, 2014. Kushoto ni Spika wa Bunge, Anne Makinda (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment