TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Sunday, December 14, 2014
Baadhi ya matukio ya picha uchaguzi Serikali za Mitaa jijini Dar es salaam
Msimamizi wa Upigaji Kura Faudhia Mbawala akihakiki majina ya washiriki wa wapiga kura katika kituo cha kupigia kura Shule ya Msingi Hekima Buguruni,
Msimamizi wa Upigaji Kura Faudhia Mbawala akihakiki majina ya washiriki wa wapiga kura katika kituo cha kupigia kura Shule ya Msingi Hekima Buguruni, wanaongalia kutoka kushoto ni Abasi Mzee wakala wa Chama cha Mapinduzi, Omary Issa Wakala wa CUF na Abubakari Said Wakala wa ADC,leo jijini Dar es Salaam.
Wakazi Buguruni, Wilaya ya Ilala wakiwa katika foleni kwa ajili ya kupiga kura na kuweza kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika kituo cha kupigia kura Shule ya Msingi Hekima, leo jijini Dar es Salaam
Wakazi wa Tabata Kimanga, Wilaya ya Ilala wakiwa katika foleni ya kuhakiki majina yao kwa ajili ya lupiga kura na kuweza kuwachaguwa viongozi wao wa Serikali za Mitaa katika kituo cha kupigia kura Shule ya Msingi Kimanga, leo jijini Dar es Salaam (Picha na Lorietha Laurence-Maelezo)
Wakazi wa Kariakoo Mashariki, Kata ya Kariakoo wakishiriki katika upigaji kura katika kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Lumumba katika uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa leo jijini Dar es Salaam
Mkazi wa karikoo Mashariki , Kata ya Kariakoo akipiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Lumumba ,kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa Mitaa akiwemo Mwenyekiti na Wajumbe leo jijini Dar es Salaam.
Msimamizi wa upigaji kura, Mwalimu Lucy Buzuka akitoa maelekezo kwa wapiga kura wa Kariakoo Mashariki, Kata ya Kariakoo jinsi ya kupiga kura katika zoezi la kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa ambapo siku ya leo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
View mobile version
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment