Pages

Thursday, December 25, 2014

KUTANA NA KATUNI YA LEO KATIKA PURUKUSHANI ZA KUTAKA KULA SIKU KUU YA X-MASS.

 Na: DJ MO [topa de top dj

On behalf of my family and I would like to wish you and your loved ones a Merry Christmas and a Blessed and Prosperous 2015. May the Lord keep you and always shine His light on you. Baraka!
Hii ni Dalili kwamba Siku ya Leo Viumbe Hawa wameteswa sana kwa mujibu wa Mazingira yalivyo, na hata wao wangekuwa na haki ya kutawala ama kuwashitaki Binadamu, ikiwemo kuwaua sidhani kama leo Familia zingeweza kula Pilau na Kuku, Ngombe, Mbuzi, Bata, na Wengine wengi.(Picha na Mchoraji wetu).

No comments:

Post a Comment