Pages

Thursday, December 25, 2014

UNYWAJI WA KUPITA KIASI MATATIZO YA KUJITAKIA.

Mmoja wa Watumia Vinywaji (Vileo ) akiwa chakali
Asemavyo Mungu wa kweli kuhusu kinywaji cha kulevya: Ole wao waamkao asubuhi na mapema wapate kufuata kileo;wakishinda sana hata usiku wa manane mpaka mvinyo imewaka kama moto ndani yao. Isaya 5:11
Hali hii utokea wakati mwingi wa sikukuu ambapo watumiaji wa vinywaji vikali(Vileo) wanaposhindwa kujidhibiti hata kufikia hali ya kutojitambua, ambapo wakati mwingine yanawapata matatizo mbalimbali ikiwemo kubakwa kwa kina mama na kuibiwa kwa upande wa kina baba, lakini hata hivyo maandiko yanasema watu kutumia kidogo na si kufikia hali kama hii.
unatakiwa kulewa lakini usizidishe kiasi.

No comments:

Post a Comment