Pages

Thursday, February 19, 2015

WAJUMBE WA BODI YA UDHAMINI WA MFUKO KUWAENZI WAASISI WA TAIFA

1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiongoza Ujumbe wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa kuwaenzi Waasisi wa Taifa.Picha na Ikulu.
3
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani (aliyesimama) akisoma taarifa ya wajumbe wa   Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa kuwaenzi Waasisi wa Taifa wakati wajumbe walipofika Ikulu Mjini Zanzibar (wengine) Mwenyekiti Vikabenga Nsa Kaisi (wa pili kushoto) na Aisha Ali Karume Mjumbe (kushoto),

No comments:

Post a Comment