Pages

Thursday, February 19, 2015

Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akutana na Mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na Utalii ya Bunge la Norway,Ola Eluestuen

9
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu, akizungumza na Mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na Utalii ya Bunge la Norway,Ola Eluestuen (kushoto) na Balozi wa nchi hiyo hapa Tanzania Hanne-Mariekaarstad, walipofika ofisini kwake muda mfupi kabla ya kuzungumza na kamati nzima ya bunge hilo.

No comments:

Post a Comment