Pages
(Move to ...)
Home
▼
Wednesday, December 23, 2015
JIJINI DAR ES SALAAM NI HEKA HEKA ZA SIKUKUU YA XMASS NA MWAKA MPYA NDANI YA SOKO LA KARIAKOO
Wananchi kutoka ndani na nje ya jiji la Dar es Salaam wakiwa katika soko Kuu la Kariako,katika maandalinzi ya Sikukuuu ya X-mass na Mwaka mpya pichani kama walivyonaswa na Camera ya Globu ya Jamii mapema jana jioni.
(Na: Mpiga Picha Wetu).
Sehemu ya Umati wa watu ndani ya soko la Kariakoo katika harakati za maandalizi ya sikukuu ya Xmass na Mwaka mpya.
Kila mmoja na heka heka zake za maandalizi ya Sikukuu.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment